Kundi la majarra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hubble views bizarre cosmic quartet HCG 16.jpg|300px|thumb|Kundi la galaksi HCG 16, ilivyoonekana kwa darubini ya Hubble]]
'''Kundi la galaksi''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: [[:en:galaxy group|galaxy group]]) ni [[idadi]] ya [[galaksi]] zinazoshikamana katika [[anga-nje]]. Maana zinaathiriana kwa njia ya [[graviti]] yaoyake. Katika mpangilio huuhuo ni hadi galaksi 50 zinazotazamiwazinazotazamwa kuwa [[kundi]].
 
Kama idadi ya galaksi zinazoshikamana ni kubwa zaidi jumla hiiyake ni [[fundo la galaksi]].
Galaksi za kundi moja zinaenea katika nafasi yenye [[kipenyo]] cha takriban [[miakanuru]] [[milioni]] 10 hivi; [[masi]] ya galaksi zote kwa pamoja ndani ya kundi ni hadi [[masi za Jua]] 10<sup>13</sup>.<ref>{{cite web|url=http://csep10.phys.utk.edu/astr162/lect/gclusters/groups.html|title=Groups of Galaxies|publisher=''University of Tennessee, Knoville''|author=UTK Physics Dept|accessdate=September 27, 2012}}</ref>
 
Galaksi yetu ya [[Njia Nyeupe]] ni sehemu ya [[kundi janibu la galaksi]] pamoja na galaksi 40 hivi nyingine.<ref>{{cite web|title=The Local Group|url= http://www.ast.cam.ac.uk/~mike/local_more.html|author=Mike Irwin|accessdate=2009-11-07}}</ref> Pamoja na Njia Nyeupe kuna [[Galaksi ya Andromeda]] (inaitwa pia M31) katika kundinyota [[Mara (kundinyota)|Mara]], ya M33 katika [[Pembetatu (kundinyota)|Pembetatu]] na galaksi ndogo kama [[Mawingu ya Magellan]].
 
Galaksi yetu ya [[Njia Nyeupe]] ni sehemu ya [[kundi janibu la galaksi]] pamoja na galaksi 40 hivi nyingine.<ref>{{cite web|title=The Local Group|url= http://www.ast.cam.ac.uk/~mike/local_more.html|author=Mike Irwin|accessdate=2009-11-07}}</ref> Pamoja na Njia Nyeupe kuna [[Galaksi ya Andromeda]] (inaitwa pia M31) katika [[kundinyota]] [[Mara (kundinyota)|Mara]], ya M33 katika [[Pembetatu (kundinyota)|Pembetatu]] na galaksi ndogo kama [[Mawingu ya Magellan]].
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
{{mbegu-sayansi}}
{{wikinyota}}