Kimondo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Katika [[lugha]] nyingi kuna majina tofauti kutaja hali mbalimbali za vimondo.
 
* '''Kimondo-anga''' ([[ing.]] ''[[:en:Meteoride|meteoride]]) ni vipande vinavyopatikana katika anga za -nje.''
* '''Kimondo''' ([[ing.]] ''[[:en:Meteor|meteor]]) ni kimondo pekee pamoja na mwangaza unaoonekana kwenye anga ya usiku. Wakati kinapopita katika angahewa ya Dunia na kuwaka kutokana na msuguano na molekuli za hewa kinaonekana kama mstari mfupi wa nuru. Waswahili wa Kale waliita hali hii "kinga cha sheitani"
* '''Kimondo-nchi''' ([[ing.]] ''[[:en:Meteorite|meteorite]]) ni vipande vinavyopita angahewa bila kuungua.