Majiranukta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Cartesian-coordinate-system.svg|thumb|300px|Mfumo majira wa kawaida.]]
'''Majiranukta''' (pia: '''mfumo viwianishimajiranukta'''; '''mfumo majira katesia''' kufuatana na [[Rene Descartes]]) ni mbinu ya [[hisabati]] unaoeleza nafasi ya kila [[nukta]] katika seti ya [[namba]].
 
Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya nukta katika [[tambarare]].
 
Nafasi zote zinapangwa kwa njia ya majira (viwianishimajiranukta) 2 yanaoitwa
*jira-x jiramlalo
*jira-y au jirawima