Harun ar-Rashid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Kipindi chake cha [[utawala]] kilikuwa na [[maendeleo]] makubwa ya [[elimu]] na [[utamaduni]]. [[Sanaa ya Kiislamu]] (ikiwa pamoja na [[muziki]]) ilistawi.
 
AlianzishaMaktaba Dar-al-Hikmayake (yaaniilikuwa msingi kwa taasisi ya [[Nyumba]] ya [[hekima]] (Dar-al-Hikma) mjini [[Baghdad]] iliyokuwa kama [[chuo kikuu]] ambako vitabu vingi vilitafsiriwa kwa [[lugha]] ya Kiarabu kutoka [[Kigiriki]], [[Kichina]], [[Kisanskrit]], [[Kiajemi]] na [[Kiaramu]] (Syriac). Kwa njia hiyo Baghdad ilikuwa [[kitovu]] cha elimu cha kimataifa wakati huo.
 
Harun alituma ma[[balozi]] kwenda hadi [[China]] na pia kwa [[Kaisari]] [[Karolo Mkuu]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]].