Kiaramu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Inatumika tangu miaka 3,000 iliyopita. Ndiyo [[lugha]] aliyoitumia [[Yesu]] pamoja na [[Wayahudi]] wengi wa wakati wake.
 
Sehemu chache za [[Biblia]] ziliandikwa kwa lugha hiyo wakati ilipokuwa imeenea zaidi kwenye [[Mashariki ya Kati]],. kablaKiaramu haijashindwaya naKale [[Kigiriki]]kilikuwa kwanza,lugha narasmi ya utawala katika [[KiarabuMilki ya Uajemi]] baadaye.
 
Baada ya [[Aleksander Mkuu]] wasemaji wa Kiaramu walitawaliwa na watawala wa Kigiriki. Katika miji mikubwa Kigiriki kilikuwa lugha kuu. Baada ya uenezaji wa Ukristo lugha iliendelea ikajulikana zaidi kama "Kisiria".
Hata hivyo watu 445,000 hivi wanaitumia hata leo, hasa nchini [[Syria]], [[Iraq]] na [[Uturuki]].
 
Hata baada ya uenezaji wa Uislamu Kisiria iliendelea kupanuka na vitabu vingi viliandikwa kwa Kisiria. Hata hivyo polepole wasemaji wengi wa Kisiria walianza kutumia Kiarabu, hasa wale waliogeukia Uislamu.
 
Hata hivyo watu 445,000 hivi wanaitumia hata leo, hasa nchini [[Syria]], [[Iraq]] na [[Uturuki]]. Karibu wote ni Wakristo.
 
==Viungo vya nje==