Kwando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
}}
'''Kwando''' (au: '''Cuando'''; kabla ya mdomo pia '''Linyanti''' halafu '''Chobe''') ni [[mto]] wa Afrika ya Kusini na [[tawimto]] wa [[Zambezi (mto)|Zambezi]]. Chanzo chake iko [[nyanda za juu za Bié]] ([[Angola]]) inapoelekea kusini-mashariki. Inakuwa mpaka kati ya Angola na [[Zambia]] kwa 140 km halafu inapita [[Kishoroba cha Caprivi]] na kuwa mpaka kati ya Namibia na Botswana.
 
Inaingia katika mabwawa wa Linyanti yenye 1,425 km². Katika sehemu hizi mto huitwa kwa majina Chobe au Liyanti.