Panteno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Panteno''' (kwa [[Kigiriki]]: Πάνταινος; alifariki [[200]] hivi)<ref>"As he was succeeded by Clement who left Alexandria about 203, the probable date of his death would be about 200. " (''Catholic Encyclopedia'')</ref> alikuwa mmoja wa [[wanateolojia]] wa kwanza katika [[historia ya Kanisa]].
 
Aliongoza [[Chuo cha Kikristo cha Aleksandria]] ([[Misri]]) kuanzia [[mwaka]] [[180]] hivi. Ndicho [[chuo]] cha kwanza cha [[katekesi]], nacho kiliathiri sana [[teolojia]] ya baadaye, hasa juu ya [[Biblia]], [[Utatu]], [[Kristo]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa nao [[tarehe]] [[22 Juni]] na [[7 Julai]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Maisha==
[[File:Silk route.jpg|thumb|250px|[[Ramani]] ya [[Barabara ya hariri]] ikionyesha njia za zamani kati ya mabara.]]
Mzaliwa wa [[kisiwa]] cha [[Sisilia]] ([[Italia]]) Panteno alikuwa [[mwanafalsafa]] mwenye kufundisha mjini [[Aleksandria]].<ref>{{cite book|title=Butler's Lives of the Saints, Volume 7|page=48|publisher=A&C Black|author1=Alban Butler|author2=Paul Burns}}</ref> Baada ya kuongokea [[Ukristo]], alijitahidi kulinganisha [[imani]] yake mpya na [[falsafa]] ya [[Ugiriki wa Kale]].<ref>Cf. Article "Clement of Alexandria" in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Ed. George Menachery, Vol. II, 1973, p.201</ref><ref>Clement, ''Stromata'', 1.1.</ref> Although no writings by Pantaenus are extant,<ref>Although Lightfoot (''Apost. Fathers'', 488), and [[Pierre Batiffol|Batiffol]] (''L'église naissante'', 3rd ed., 213ff) attribute the concluding passages of the ''Epistle to Diognetius'' to Pantaeus; see "Pantaenus" in ''The Westminster Dictionary of Christian History'', ed. Jerald Brauer.</ref>
 
Aliongoza [[Chuo cha Kikristo cha Aleksandria]] ([[Misri]]) kuanzia [[mwaka]] [[180]] hivi. Ndicho [[chuo]] cha kwanza cha [[katekesi]], nacho kiliathiri sana [[teolojia]] ya baadaye, hasa juu ya [[Biblia]], [[Utatu]], [[Kristo]]. Kilipoanzishwa kusudi lake lilikuwa kuwaelimisha [[Wapagani]] waliotafuta habari za imani mpya ya Kikristo kabla ya [[ubatizo]]. Chuo cha Aleksandria kikaendelea haraka kuwa [[kitovu]] cha elimu ya Kikristo na [[majadiliano]] kati ya imani ya Kikristo na [[falsafa]] ya Kigiriki iliyostawi sana Aleksandria, [[mji mkuu]] wa [[Misri]] wakati huo.
 
Kadiri ya [[Jeromu]] chuo cha Aleksandria ilianzishwa na [[Mwinjili Marko]]. Baadaye anatajwa [[Athenagora wa Athene]] ([[176]]), lakini kwa hakika zaidi Panteno, aliyeacha [[uongozi]] kwa [[mwanafunzi]] wake bora, [[Klementi wa Aleksandria]] mwaka [[190]].<ref>Cross, F.L.; Livingstone, E.A., eds. (1974). "Clement of Alexandria, St.". The Oxford Dictionary of the Christian Church (2 ed.). Oxford: Oxford University Press.</ref> Huyo alifuatwa na [[Origene]] akiwa na [[umri]] wa miaka 18 tu, na wataalamu wengine wanaoheshimiwa kama watakatifu katika [[Kanisa la Kiorthodoksi]] na [[Kanisa Katoliki]] kama [[Gregori Mtendamiujiza]], [[Heraklas]], [[Dionisi wa Aleksandria]] na [[Didimo Kipofu]].
 
[[Eusebi wa Kaisarea]] anasimulia kuwa Panteno alikwenda kama [[mmisionari]]<ref>Cf.Article "Christian Influences on Hinduism before the European Period" by P. Thomas in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Vol.II, 1973, p. 177 et. sq.</ref> hadi [[India]].<ref>[http://www.newadvent.org/fathers/250105.htm ''Church History''] by Eusebius. Book V Chapter 10. Pantaenus the Philosopher.</ref><ref>Article by S. S. Koder, "History of the Jews in Kerala", in the St. Thomas Christian Encyclopaedia of India, Vol. II, 1973, pp.183 ff.</ref><ref>[https://books.google.com/books?id=lZUBZlth2qgC&printsec=frontcover&dq=isbn:9780802824172&hl=en&sa=X&ei=i5ncVJiVJ4u4uATrlIGoAg&ved=0CB8Q6wEwAA#v=onepage&q=Muziris&f=false ''The Encyclopedia of Christianity, Volume 5''] by Erwin Fahlbusch. Wm. B. Eerdmans Publishing - 2008. p. 285. {{ISBN|978-0-8028-2417-2}}.</ref><ref>[https://books.google.com/books?id=qhKGPprbQaYC&printsec=frontcover&dq=isbn:9652781797&hl=en&sa=X&ei=i5q6VKj1F4yJuASKnIKADQ&ved=0CB8Q6wEwAA#v=onepage&q=St.%20Thomas&f=false ''The Jews of India: A Story of Three Communities''] by Orpa Slapak. The Israel Museum, Jerusalem. 2003. p. 27. {{ISBN|965-278-179-7}}.</ref><ref>[https://books.google.com/books?id=eONSAAAAcAAJ&q=Muziris#v=snippet&q=Muziris&f=false Cyclopaedia of India and of Eastern and Southern Asia.] Ed. by Edward Balfour (1871), Second Edition. Volume 2. p. 584.</ref><ref>[[Jeromu]], ''De viris illustribus'' 36</ref>.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==