Utomvu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Utomvu''' ni kiowevu kinachopitishwa kati [[seli]] za [[mimea]]. Unasafirisha maji na lishe ndani ya mmea<ref>[https://www.britannica.com/science/sap-plant-physiology Sap (plant physiology)], tovuti ya [[Encyclopedia Britannica]] online</ref>.
[[File:Latex dripping crop.png|thumb|250px|Utomvu wa mpira ukikusanywa mtini]]
[[Picha:Palm-wine from Odinga Eneh.jpg|thumb|250px|Kukusanya utomvu wa mnazi]]
Kutokana na aina mbili tofauti za seli za mimea , yaani [[zilemu]] na [[floemu]], kuna aina mbili za utomvu wa zilemu na utomvu wa floemu<ref>[http://www.emc.maricopa.edu/faculty/farabee/biobk/BioBookPLANTANAT.html PLANTS AND THEIR STRUCTURE], On-Line Biology Book, 2001</ref>.
 
==Utomvu wa zilemu==
Mstari 19:
*[[Kanada]] ni mashuhuri kwa shira kutoka kwa utomvu wa miti ya [[jenasi]] Acer (ing. ''maple'')
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[jamii:Mimea]]