Airbus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Tangu mwaka [[2001]] [[Airbus]] imekuwa kampuni inayotengeneza [[Ndege (uanahewa)|ndege]] za kusafirisha [[abiria]] nyingi duniani. Ni hasa aina mbalimbali kama vile [[Airbus A300]], [[Airbus A310]] au [[Airbus A320]]. Tangu mwaka [[2007]] [[Airbus A380]] ni ndege kubwa kabisa ya kubeba abiria duniani.
 
Airbus ni kampuni iliyotokana na muungano wa makampuni madogo madogo ktk ulaya
==Historia==
Kampuni kwa yania Airbusmoja ambayo ni tokeo la harakati la kuunganisha makampuni madogo zaidi katika Ulaya kwa shabaha ya kuweza kushindana na makampuni makubwa ya kutengeneza ndege ya Marekaniamerika kama vile [[(Boeing]] na [[McDonnell Douglas]]).
Airbus iliundwa na makampuni ya upande mmoja wa ujerumani,shirikisho la
 
makampuni ya ufaransa,hispania na uingereza.Baadaye washiriki wote waliungana
Chanzo cha Airbus kilikuwa maungano ya makampuni ya Kijerumani kwa upande mmoja na shirikisho la makampuni ya Kifaransa. Makampuni mengine kutoka Hispania na Uingereza yalijiunga nao na mwanzoni serikali za nchi hizi zilishika asilimia kubwa ya hisa isipokuwa Ujerumani ambako kampuni la Daimler ilishika hisa za taifa hili. Hadi mwaka 2001 Wajerumani na Wafaransa walishika kila asilimia 37.9 za hisa zote, Waingereza asiilimia 20 na Wahispania 4.2.
wakaunda kampuni lililoitwa (EADS)-(European Aeropean defence and Space Company).
 
[[Picha:Lufthansa.a320-200.d-aipz.arp.jpg|thumb| Airbus 320 ni modeliaina iliyotengenezwa mara nyingi na kampuni hii kuna ndege 2700 za aina hii zinazofanya kazi]]
Baadaye washiriki wote waliungana kwa kuunda kampuni la [[EADS]] (European Aeronautic Defence and Space Company) ambayo sasa ni kampuni mama ya Airbus.
 
[[Picha:Lufthansa.a320-200.d-aipz.arp.jpg|thumb|Airbus 320 ni modeli iliyotengenezwa mara nyingi na kampuni hii kuna ndege 2700 za aina hii zinazofanya kazi]]
 
==Aina za ndege==