Nebula ya Kaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:The Crab Nebula M1 Goran Nilsson & The Liverpool Telescope.jpg|thumb|Nebula ya Kaa ilivyo.]]
[[Picha:M1rosse.jpg|thumb|Nebula ya Kaa jinsi ilivyochorwa katika karne ya 19.]]
'''Nebula ya Kaa''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Crab Nebula'', inajulikana pia kwa [[Jina|majina]] kama M1, NGC 1952 au Taurus A) ni [[nebula]] katika [[Ng'ombe (kundinyota)|kundinyota la Ng'ombe]]. Ni [[wingu]] la [[mabaki]] ya [[nyota nova]] iliyolipuka. [[Mlipuko]] wa nova ulitazamwa [[mwaka]] [[1054]] na kurekodiwa na [[wanaastronomia]] [[Wachina]] walioona "nyota mpya" iliyoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[mchana]]. Ni [[kiolwa cha angani]] cha kwanza kilichoweza kutambuliwa kuwa na [[asili]] katika mlipuko wa nyota.