Marumaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 41.246.30.15 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 1:
[[Picha:Landscape marble skyline.jpg|225px|right|thumb|Uchoraji asiliawaonekanakwenyeusowamarumaruiliyokatwanakusuguliwaasilia waonekana kwenye uso wa marumaru iliyokatwa na kusuguliwa.]]
[[Picha:Venus_de_Milo_Louvre_Ma399-02b.jpg|thumb|120px|right|Sanamu yamarumaruyamwoneshaya marumaru yamwonesha [[Venus]], [[Miungu|mungu]] jikewajike wa [[Roma yaKaleya Kale|Kiroma]].]]
'''Marumaru''' (pia: '''marmar''' - kutoka [[Kiarabu]] مرمر) ni [[mwamba]] wa [[gange]] uliobadilikakutokananauliobadilika kutokana na [[joto]] nashindikizondaniyana shindikizo ndani ya [[ganda la dunia]] katikakipindikatika kipindi cha miaka [[milioni]] kadhaa. [[Kemia|Kikemia]] nihasaCaCOni hasa CaCO<sub>3</sub>.
 
Ni [[jiwe]] gumusanalinalopatikanakatikagumu sana linalopatikana katika [[rangi]] mbalimbali.
Hupendwasanakamajiwe la [[ujenzi]], hasakamani [[nyeupe]]. Kama nihabakatikaeneofulanihutumiwakama [[Pambo|mapambo]] tu, kama vile kwakufunika [[Ukuta|kuta]].
Jiwelenyerangimbalimbalihutumiwakwa [[sakafu]] katika [[Jengo|majengo]] muhimu au kamamapamboyakutazandani.
 
HupendwasanakamajiweHupendwa sana kama jiwe la [[ujenzi]], hasakamanihasa kama ni [[nyeupe]]. Kama nihabakatikaeneofulanihutumiwakamani haba katika eneo fulani hutumiwa kama [[Pambo|mapambo]] tu, kama vile kwakufunikakwa kufunika [[Ukuta|kuta]].
Tangu kale marumaruilitumiwapiakwakuchonga [[sanamu]].
 
== Viungovyanje ==
JiwelenyerangimbalimbalihutumiwakwaJiwe lenye rangi mbalimbali hutumiwa kwa [[sakafu]] katika [[Jengo|majengo]] muhimu au kamamapamboyakutazandanikama mapambo ya kuta za ndani.
 
Tangu kale marumaru ilitumiwa pia kwa kuchonga [[sanamu]].
 
== Tovuti za nje ==
{{Commons|Marble}}
* [http://www.exoticaindica.com Inlaid marble]
* [http://www.doityourself.com/stry/marble Tips for cleaning marble]
* [http://graphics.stanford.edu/projects/mich/learning-to-carve/learning-to-carve.html Learning to carve] Imeandikwanaby Marc Levoy.
* [http://commons.wikimedia.org/wiki/Marble_quarry MarmoQarryMarmo Qarry in the Massa-Carrara region, Italy]
* [https://marble.com/articles/marble-countertop-costMarumaruzakupambajiko]
* [http://www.marble-institute.com/TaasisiyaMarumaruyaMarekani]
* [http://minerals.usgs.gov/minerals/pubs/commodity/stone_dimension/Dimension Stone Statistics and Information – United States Geological Survey minerals information for dimension stone]
* [http://commons.wikimedia.org/wiki/Marble_quarry MarmoQarry in the Massa-Carrara region, Italy]
 
{{mbegu-kemia}}