Selulitisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Selulitisi''' (kutoka [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]: "cellulitis") ni [[ugonjwa]] unaotokana na [[bakteria]] unaoathiri [[ngozi]].<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellulitis/ |website=ecellulitis.com |accessdate=2019-06-28}}</ref> Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref> Mgonjwa anaweza kuwa na [[homa]] na kujisikia mchovu.<ref name=Mint2013>{{cite journal|last=Mistry|first=RD|title=Skin and soft tissue infections |journal=Pediatric Clinics of North America |date=Oct 2013|volume=60|issue=5|pages=1063–82|pmid=24093896|doi=10.1016/j.pcl.2013.06.011}}</ref>
 
[[Dalili]] zake ni pamoja na ngozi kubadilika [[rangi]] kuwa [[nyekundu]] na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na [[maumivu]]. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref>
Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezesha mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni [[streptococci]] na ''[[Staphylococcus aureus]]''.
 
[[Mgonjwa]] anaweza kuwa na [[homa]] na kujisikia mchovu.<ref name=Mint2013>{{cite journal|last=Mistry|first=RD|title=Skin and soft tissue infections |journal=Pediatric Clinics of North America |date=Oct 2013|volume=60|issue=5|pages=1063–82|pmid=24093896|doi=10.1016/j.pcl.2013.06.011}}</ref>
Matibabu yake huwa ni kwa dawa kama vile [[cephalexin]], [[amoxicillin]] au [[cloxacillin]]. Kwa wale wenye matatizo ya kutumia dawa kama [[penicillin]], dawa za [[erythromycin]] na [[clindamycin]] hutumiwa.
 
[[Miguu]] na [[uso]] ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya [[mwili]].
 
Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezeshazinazofanya [[mtu]] kupata ugonjwa huu ni pamoja na [[Unene wa kupindukia|unene kupita kiasi]], kuvimba kwa miguu, na [[uzee]]. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni [[streptococci]] na ''[[Staphylococcus aureus]]''.
 
[[Matibabu]] yake huwa ni kwa [[dawa]] kama vile [[cephalexin]], [[amoxicillin]] au [[cloxacillin]]. Kwa wale wenye matatizo ya kutumia dawa kama [[penicillin]], dawa za [[erythromycin]] na [[clindamycin]] hutumiwa.
 
<gallery>
Line 19 ⟶ 25:
==Viungo vya nje==
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Ngozi]]
{{mbegu}}
[[Jamii:Magonjwa ya bakteria]]