Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
Kati ya kazi za IATA ni jitihada za kusanifisha tiketi za usafiri wa ndege kwa shabaha ya kuwezesha abiria kusafiri kwa mashirika mabalimbali kwa kutumia tiketi 1 tu. IATA inasaidia pia mapatano kati ya mashirika wanachama kukubaliana kati yao tiketi za makampuni mengine.
 
Kazi muhimu nyingine ni kutoa kodo[[kodi fupi]] kwa kila shirika na kila uwanja wa ndege. IATA inalenga pia kusanifisha taratibu za usalama kati ya makampuni ya usafiri kwa ndege.