Tofauti kati ya marekesbisho "Instagram"

6 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(more spam)
 
== Kutumia Instagram ==
Unapotumia programu ya Instagram, yafaa kwanza uangalie ni [[heshitegi]] gani ambazo zinapendwa sana na watu na ambazo zina wafuasi wengi. Ni vizuri pia uwe na picha maalumu ambayo inaonyesha wewe ni nani na taarifa ndogo kukuhusu ili wafuasi wako waweze kujua msimamo wako na masuala unayozingatia.
 
Ili kupata wafuasi wengi, inabidi uwe ukijipiga picha nyingi mara kwa mara na kuziweka katika mtandao. Picha zenyewe zafaa ziwe zimepigwa vizuri na kamera au simu ili ziwe wazi na kuonekana kwa urahisi. Waweza pia kujua jinsi unavyoendelea katika kupata wafuasi na picha zako kupendeka kwa kutumiakufanya auditukaguzi ili ujue kama waendelea vizuri na masuala yako yanafuatiliwa na watu.
 
Instagram pia inakupa nafasi ya kutoa [[hadithi]] yako kwa Instagram stories.