Tofauti kati ya marekesbisho "Nyuki"

635 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Nyongeza picha
(Sahihisho)
(Nyongeza picha)
*[[Xylocopinae]]
}}
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left300px|Mwili wa nyuki]]. A: Kichwa B: Toraksi (kidari) C: Fumbatio
1: Gena (shavu) 2: Verteksi (paji) 3: Oselli (macho sahili) 4: Papasio 5: Jicho tata 6: Ndevu 7: Kinywa 8: Mguu wa mbele 9: Femuri (paja) 10: Mguu wa kati 11: Ukucha 12: Tarsi 13: Tibia (goko) 14: Mguu wa nyuma 15: Sterno 16: Mwiba 17: Ubawa wa nyumba 18: Ubawa wa mbele]]
'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye [[mabawa]] manne angavu na [[mwiba]] nyuma ya mwili wao. Hukusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama [[chakula]] chao.
 
[[Spishi]] inayojulikana hasa ni [[nyuki-asali]] (''[[Apis mellifera]]'') ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na [[biolojia]] kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi ''[[Apis]]'' wanaotengeneza [[asali]] inayovunwa kwa matumizi ya [[binadamu]].
 
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]]
== Umbo la nyuki ==
Mwili una pande tatu jinsi ilivyo kwa wadudu wote: [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[tumbo]] nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa.
* Nyuki wanapeperusha mabawa yao ili kutoa maji kwenye nekta na kusambaza harufu za mawasiliano. Huyu nyuki mtenda kazi anatoa harufu kutoka kwa mfuko wake wa ndani ili kuvutia wenzake kuungana naye. Hawa nyuki wafanyakazi wanakula kwa pamoja na kushirikishana harufu spesheli kutoka kwa malkia.
* Nyuki wafanyakazi hutumia aina ya [[gundi]] ([[w:propolis|propolis]] au [[gundi ya nyuki]]) ili kuziba nyufa na kuweka mzinga kuwa safi. Gundi hii inatengenezwa kwa kuchanganya [[mate]], nta na utomvu wa [[mti|miti]] au [[mmea|mimea]] ingine.
 
==Picha==
<gallery>
Amegilla atrocincta.jpg|Apinae (Nyuki mchimbaji, ''Amegilla atrocincta'')
Cuckoo Bee - Thyreus species, Gorongosa National Park, Mozambique (42730236122).jpg|Nomadinae (Nyuki-kekeo, ''Thyreus'' sp.)
Xylocopa lugubris, manlik, Little Eden, a.jpg|Xylocopinae (Nyuki-bungu, ''Xylocopa lugubris'')
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
11,367

edits