Tofauti kati ya marekesbisho "Wanyama wa nyumbani"

438 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya Anjakretfep (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
 
*5. Kwato za wanyama hawa hutumika kutengenezea vyombo kama [[sahani]],[[vibakuli]], na kadhalika.
*6. Mavi ya wanyama hutumika kama [[mbolea]] ambayo huwezesha [[mazao]] kukua haraka na kustawi vizuri.
*7. Wanyama pia hutumika kwa [[tiba]]. Wagonjwa wanaohitaji wanyama katika matibabu yao hupewa ruhusa maalum kusafiri na kuishi na wanyama hata sehemu ambazo wanyama hawakubaliwi.
 
Wanyama wana faida nyingi sana; hizi ni chache tu. Wanyama hao hutoa pia faida za kihisia kama mazoezi, mahusiano ya kijamii na n.k. Wanyama hawa huondoa upweke kwa watu wasiokuwa na marafiki au mahusiano ya kijamii kama [[wazee]], [[watoto]], [[Ujauzito|wajawazito]]. Wanyama wengine huwatembelea [[wagonjwa]].
Wanyama hawa hufundiswa jinsi ya kufanya vitu vya kisayansi, kwa kulenga wagonjwa.
 
Hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hao: inafaa tuwatunze vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na za kiuchumi. Hivyo hawatakiwi kupigwa ovyo. Wanatakiwa waangaliwe afya zao na kupata mahitaji yao.
 
== Tanbihi ==
1. Wanyama hawatakiwi kupigwa.
{{marejeo}}
2. Wanyama wanatakiwa waangaliwe afya zao.
 
3. Wanyama wanatakiwa kupata mahitaji yao.
== Marejeo ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_domesticated_animals
* https://en.wikipedia.org/wiki/Pet
* https://en.wikipedia.org/wiki/Animal-assisted_therapy
* https://en.wikipedia.org/wiki/Domestication
* https://en.wikipedia.org/wiki/Captive_breeding
 
{{mbegu-utamaduni}}