Fotoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Fotoni''' ([[ing.]] ''photon'', kutoka [[gir.]] φῶς, φωτός ''fos,fotos'' nuru) ni sehemu ndogo ya chini kabisa ya usafirishaji wa [[nishati]] ya [[mwanganuru]] (mwanga) kwa njia ya vifurushi au [[kwanta]].
 
[[Nadharia ya kwanta]] inaeleza kwamba aina zote za nishati husafirishwa kutoka eneo moja hadi jingine kwa viwango vidogovidogo (vifurushi/kwanta).
 
Kwa upande wa mwanganuru kiwango hicho kidogo kabisa huitwa fotoni.
 
{{mbegu-fizikia}}