52,022
edits
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
d (Masahihisho aliyefanya 196.249.102.194 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni) Tag: Rollback |
||
'''Sarafu''' ([[kar.]] '''<big>صرافة</big>''' ''badilisha'') ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.
Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka [[Lydia]] katika [[Anatolia]] ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa [[Wagiriki wa Kale]]. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama [[dhahabu]] na [[
Siku hizi sehemu kubwa ya fedha inatolewa kama [[noti]] yaani kama [[karatasi]].
|