Patrolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Ukristo}} '''Patrolojia''' (kwa Kiingereza "Patrology", kutokana na maneno ya Kigiriki "pater", baba na "logia", elimu) ni taaluma inayohu...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Patrolojia''' (kwa [[Kiingereza]] "Patrology", kutokana na maneno ya [[Kigiriki]] "pater", [[baba]] na "logia", [[elimu]]) ni [[taaluma]] inayohusu mafundisho ya [[mababu wa Kanisa]] ([[karne ya 1]] hadi [[Karne ya 8|ya 8]]).
 
Muhimu zaidi upande wa [[Ukristo wa Mashariki|Mashariki]] ni: [[Atanasi]], [[Basili Mkuu]], [[Gregori wa Nazienzi]] na [[Yohane Krisostomo]].
Umuhimu wa [[fani]] hiyo unatokana na kwamba [[watu]] hao waliishi jirani kidogo na wakati wa [[Yesu]] na [[Mitume wa Yesu|mitume wake]] kuishi [[duniani]], hivyo waliweza kujua na kuelewa zaidi mafundisho yao, ambayo ndiyo utimilifu wa [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kadiri ya [[Ukristo]].
 
Upande wa [[Ukristo wa Magharibi|Magharibi]] ni: [[Ambrosi]], [[Agostino wa Hippo]], [[Jeromu]] na [[Papa Gregori I]].
 
Umuhimu wa [[fani]] hiyo unatokana na kwamba [[watu]] hao waliishi jirani kidogo na wakati waambapo [[Yesu]] na [[Mitume wa Yesu|mitume wake]] kuishiwaliishi [[duniani]], hivyo waliweza kujua na kuelewa zaidi mafundisho yao, ambayo ndiyo utimilifu wa [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kadiri ya [[Ukristo]].
 
Kwa msingi huo, [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] wanazingatia sana [[maandishi]] yao, hasa yanapolingana ingawa yalitolewa katika mazingira mbalimbali, kama uthibitisho wa uwepo wa [[mapokeo ya Mitume]].
Line 13 ⟶ 17:
*[[Patrologia Orientalis]]
 
Hata hivyo [[wataalamu]] wanazidi kuyatoa upya kwa usahihi zaidi na kutoa mengine yaliyopatikana baadayebaada ya toleo la Migne.
 
==Vyanzo na viungo vya nje==