Tofauti kati ya marekesbisho "Mashahidi wa Yehova"

66 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], kutokubali [[matibabu]] yanayohusisha [[damu]], mara kadhaa za [[utabiri]] wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa na viongozi wao.
 
Kwa sababu hizo na kwa kutokubali kwa sababu ya [[dhamiri]] kujiunga na [[jeshi]], kusalimu [[bendera]] za [[taifa]] au kuimba [[nyimbo]] za Taifa , pamoja na msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote katika siasa, katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku kama vile huko [[Kazakstan]], [[Eritrea]] na sasa [[Urusi]].
 
Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.
Anonymous user