Mgongo kati wa Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mid-atlantic_ridge_map.png|thumb|200px|[[Ramani]] ya mgongo kati ya Atlantiki.]]
'''Mgongo kati wa Atlantiki''' (ing. ''Mid-Atlantic Ridge'') ni [[safu ya milima]] chini ya [[maji]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]] inayoelekea kutoka 87°N (333 [[km]] [[kusini]] kwa [[Ncha ya kaskazini]]) hadi [[kisiwa]] cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] kusini mwa [[dunia]] kwenye 54°S.
 
Vilele vya juu vya [[milima]] hii inaonekana juu ya [[UB]] kama [[visiwa]]. Safu hii ya milima imetokea mahali ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] yanaachana: [[bamba la Ulaya-Asia]] na [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] katika Atlantiki ya Kaskazini, halafu [[bamba la Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Afrika]] katika Atlantiki ya Kusini.