Globu ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Churchill globe being painted.jpg|thumb|Globu kubwa ya Dunia inachorwa katika karahanakarakana.]]
'''Globu ya Dunia''' (ing.kutoka [[Kiingereza]]: ''globe'') ni [[ramani]] ya [[Dunia]] iliyochorwa juu ya [[tufe]]. Ni kama mfano wa Dunia yetu unaolenga kuiga [[umbo]] lake halisi.
 
Globu huwa na faida kulinganishwa na ramani ya kawaida ilhali inaonyesha umbo la eneo pamoja na [[umbali]] na [[Pembe (jiometria)|pembe]]. Ramani za Dunia yote haziwezahaziwezi kuunganisha sifa hizihizo kwa sababu kadrikadiri eneo likolilivyo mbali na [[ikweta]], [[mtupo]] wa umbo la tufe linabadilisha emba na umbali kwenye ramani bapa.
'''Globu ya Dunia''' (ing. ''globe'') ni [[ramani]] ya [[Dunia]] iliyochorwa juu ya [[tufe]]. Ni kama mfano wa Dunia yetu unaolenga kuiga umbo lake halisi.
 
Globu huwa na faida kulinganishwa na ramani ya kawaida ilhali inaonyesha umbo la eneo pamoja na umbali na [[Pembe (jiometria)|pembe]]. Ramani za Dunia yote haziweza kuunganisha sifa hizi kwa sababu kadri eneo liko mbali na [[ikweta]], [[mtupo]] wa umbo la tufe linabadilisha emba na umbali kwenye ramani bapa.
 
== Historia ==
[[Picha:Globus mit Dreh-Schwenk-Halterung 6.JPG|250px|thumb|Globu ya Dunia ndogo ya mezani.]]
Umbo la Dunia lilitambuliwa kuwa kama tufe tangu [[Hipparchus]] wakati wa [[karne ya 3 KK]]. Mfano wa kwanza wa globu ya Dunia inayojulikana ni ile ya [[mtaalamu]] wa [[Ugiriki wa Kale]], [[Crates wa Mallus]] palehuko [[Cilicia]] (leo [[Uturuki]]), mnamo [[karne ya 2 KK]].<ref>[http://www.1worldglobes.com/earthglobe.htm Earth Globe]</ref>
 
Kuna mifano kadhaa iliyotengenezwa na [[wanajiografia]] [[Waislamu]] wa kale, kwa mfano zamani za [[khalifa]] [[Al-Ma'mun]] katika [[karne ya 9]] [[BK]].<ref>{{cite book| last = Meri| first = Josef W.| title = Medieval Islamic Civilization: An Encyclopedia| url = https://books.google.com/?id=H-k9oc9xsuAC&pg=PA138| publisher = Psychology Press| isbn = 978-0-415-96690-0| pages = 138-139 }}</ref><ref>{{citation|first=Richard|last=Covington|journal=[[Saudi Aramco World]], May-June 2007|year=2007|pages=17–21|url=http://www.saudiaramcoworld.com/issue/200703/the.third.dimension.htm|accessdate=2008-07-06}}</ref>
 
Globu ya Dunia ya kale iliyohifadhiwa hadi sasa ni ile iliyotengenezwa na [[Martin Behaim]] wa [[Nürnberg]], [[Ujerumani]], mnamo [[mwaka]] [[1492]]. [[Amerika]] ilionyehswailionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye globu ya Dunia na [[Martin Waldseemueller]] mnamo [[1507]].
 
==Utengenezaji==
[[File:Waldseemüller Globensegmente Cim107-2.jpg|thumb|right|Kanda za pembembili zilizochapishwa kwa utengenezaji wa globu ya Waldseemüller, 1507.]]
Globu za Dunia huandaliwa kwa kugawa ramani ya Dunia kwakatika kanda nyembamba zenye [[pembe]] [[mbili]] juu yana chini. Ziko pana kiasi katika kwenye eneo la [[ikweta]] na kuwa nyembamba kadri zinavyokaribia [[Ncha ya kusini|ncha za kusini]] na [[Ncha ya kaskazini|kaskazini]]. Kanda hizihizo hukatwa na kufungwa kwenye tufe.
 
Tufe hutobolewa na [[mhimili]] wa mzunguko baina ya [[ncha]] mbili na kuwekwa katika [[stendi]] kwa kunamakuinama pembe ya 23.5°.
 
==Tazama pia==