Kationi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|upright=1.75|Atomi ya haidrojeni(kati) ina [[protoni moja na elektroni moja. Kuondolewa kwa elektroni kunaunda kationi (kushoto),wak...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:49, 8 Septemba 2019

Kationi(+) kutoka katika neno la Kigiriki κάτω (káto), likimaanisha "chini", ni ioni iliyo na elektroni chache kuliko protoni, na hivyo huwa na chaji chanya.

Atomi ya haidrojeni(kati) ina protoni moja na elektroni moja. Kuondolewa kwa elektroni kunaunda kationi (kushoto),wakati kuongezwa kwa elektroni kunaunda anioni (kulia).