Kasiani wa Tanja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Picha takatifu ya Marselo na Kasiani wa Tanja katika kanisa la Kiorthodoksi la Raba...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Marcellus Cassian.jpg|thumb|250px|[[Picha takatifu]] ya [[Marselo wa Tanja|Marselo]] na Kasiani wa Tanja katika [[kanisa]] la [[Kiorthodoksi]] la [[Rabat]], Moroko.]]
'''Kasiani wa Tanja''' alikuwa [[Mkristo]] wa [[Moroko]] aliyefia [[dini]] yake kwa kukatwa [[kichwa]] katika [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Diocletian]] mwanzoni mwa [[karne ya 4]]. [[Tarehe]] inayotajwa na [[mapokeo]] ni [[3 Desemba]] [[298]]<ref>Geoffrey Ernest Maurice de Sainte-Croix, ''Christian Persecution, Martyrdom, and Orthodoxy'', Oxford University Press, 2006, p. 172:"we must admit that we know nothing of the date or the circumstances of his execution"</ref>.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==