Petali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Ua la mmea wa mbaazi lililo na petali nyeupe.]] '''Petali''' ni majani yakipekee katika ua ambayo huzunguka sehemu za...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:51, 15 Septemba 2019

Petali ni majani yakipekee katika ua ambayo huzunguka sehemu za uzazi za ua. Mjani haya pia katika aina kadha za maua huwa na rangi pamoja na harufu nzuri yenye kuvutia wadudu pamoja na binadamu. Uwezo wa majni haya kuvutia wadudu huchangia katika utungishaji katiaka mimea hivyo yaani umuhimu katika uzazi wa mimea.Petali zote katika ua huitwa corolla. Kikawaida petali hukaa pamoja na seti nyongine ya majani ya kipekee ambayo huitwa sepali, ambayo hukaa chini ya muunganiko wa petali.Ingawa petali kikawaida huwa ndiyo maeneo dhahiri katika maua yatungishwayo na wanyama hasa wadudu, spishi za mimea itungishwayo kwa njia ya upepo, hasa majani huwa na petali ndogo mno au hukosa petali kabisa-

Ua la mmea wa mbaazi lililo na petali nyeupe.