Kani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Force examples.svg|300px|thumbnail|Kani huelezwa pia kama nguvu ya kuvuta au kusukuma gimba lolote; mifano ya chanzo cha kani ni graviti au usumaku ]]
'''Kani''' (kwa [[Kiingereza]] ''force'') ni [[athira]] ya [[nje]] inayoweza kubadilisha [[hali]] ya [[utulivu]] au [[mwendo]] kwenye [[gimba]]. Hupimwa kwa [[nyutoni]].<ref>KAST 1995, uk. 105</ref>