Mlima Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 953:
Wakati Saunders alirudi kutoka Naivasha timu okozi, Mackinder, Ollier na Brocherel walijaribu kupanda kilele tena. Walifika kilele cha Batian saa sita mchana tarehe 13 Septemba, na walishuka kutumia njia ileile<ref name=":3" />.
===1900-1930===
Baada ya ukweaji wa kwanza, hakukuwa na safari nyingi za kukwea mlima. Upelelezi kabla ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita ya Kwanza ya Dunia]] ulikuwa ukifanywa na [[walowezi]] nchini Kenya, ambao hawakufanya upelelezi wa kisayansi. Misheni ya Kanisa la Uskoti ilipofunguliwa Chogoria[[Chogoria,|Chogoria,]], wamishonari kadhaa walikwea mlima lakini hakuna aliyefanikiwa kufikia vilele vya Batian au Nelion.<ref name="mck" />
 
Miti ya misitu ilikatwa ili kurahisisha safari ya kufikia vilele. Mwaka 1920, Arthur Fowell Buxton alijaribu kutengeneza njia kutoka kusini, na njia nyingine walikuja kutoka [[Nanyuki]] kaskazini, lakini njia iliyotumiwa zaidi ni ile ya Chogoria, kutoka mashariki, iliyotengenezwa na Ernest Carr.<ref name="mck" />
Mstari 1,728:
 
 
*''Kirinyaga,''  [[Mike Resnick,]], (1989).<ref name=":4" />
 
 
 
*[[Facing Mount Kenya, Jomo Kenyatta,|''Facing Mount Kenya,'' Jomo Kenyatta,]], (1938); kitabu kuhusu Kikuyu.<ref name="facingmtkenya">{{cite book|title=Facing Mount Kenya|last=Kenyatta|first=Jomo|publisher=Secker and Warburg|year=1961|location=London|authorlink=Jomo Kenyatta}}</ref>