Mathayo I wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Coptic cross.svg|thumb|100px|[[Msalaba]] wa Kikopti.]]
'''Mathayo I wa Aleksandria''' kuanzia mwaka [[1378]] hadi [[1408]] alikuwa [[Patriarki]] wa 87 wa [[Wakopti]]<ref>[http://stmina.hamilton.on.coptorthodox.ca/synexarian/Popes/mateous.htm Coptic synexarium]</ref>.
 
Akiwa na [[umri]] wa miaka 14 alijiunga na [[monasteri]] na kufikia miaka 18 alipewa [[upadrisho]].
Mstari 18:
==Tanbihi==
{{Reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Mathayo 01I wa Aleksandria}}
[[Category:Waliozaliwa karne ya 14]]
[[Category:Waliofariki 1408]]