Mzingo antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Mstari wa mzingo antaktiki kwenye ramani ya Dunia. Picha:Antarctic circle.svg|300px|thumb|Mzingo antaktiki kwenye r...'
 
No edit summary
 
Mstari 2:
[[Picha:Antarctic circle.svg|300px|thumb|Mzingo antaktiki kwenye ramani ya Antaktiki.]]
 
'''Mzingo antaktiki''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Antarctic circle'') ni [[mstari]] wa kudhaniwa kwenye uso wa [[Dunia]] kwa [[latitudo]] ya kusini ya 66° 33' 50'' hivi<ref>[http://www.neoprogrammics.com/obliquity_of_the_ecliptic/ Obliquity of the Ecliptic, Nutation in Obliquity and Latitudes of the Arctic/Antarctic Circles], tovuti ya NeoProgrammics PHP Science Labs, Basic Astronomy and Science-Related Tools, iliangaliwa Septemba 2019</ref>. [[Umbali]] wake na [[ncha ya kusini]] ni takriban [[kilomita]] 2,600, umbali kutoka ikweta km 15,996.
 
Kinyume chake ni [[mzingo aktiki]] upande wa kaskazini ya Dunia.
 
==Ufafanuzi wa mzingo antaktiki==