Miporomoko ya ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Miporomoko ya ardhi''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''landslide'') hutokea pale ambako miamba, mchanga, au vifusi vinaposonga chini kwenye mteremko. Mitiririko ya vifusi, ambayo pia huitwa mimonyoko ya udongo, ni aina ya mporomoko wa ardhi inayotokea kwa kasi sana yenye mwelekeo wa mfereji.
 
==Kisababishi cha miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
 
Miporomoko ya ardhi husababishwa na vurugu katika uthabiti asilia wa mteremko. Zinaweza kuandamana na mvua kubwa au kufuata ukame, mitetemeko ya ardhi au kufoka kwa volkano. Mimomonyoko ya udongo hutokea maji yanapokusanyika kwa haraka ardhini na kusababisha kufura kwa mwamba, ardhi, na vifusi vilivyojaa maji. Mimonyoko ya udongo huanza kwa miteremko mikali na inaweza kuchochewa na maafa ya asilia. Maeneo ambayo mioto inayoenea kwa kasi au ubadilishaji wa ardhi na binadamu imeharibu mimea katika miteremko yana uwezekano mkubwa hasa wa miporomoko ya ardhi wakati wa na baada ya mvua kubwa.
 
==Tishio za kiafya kutokana na miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
 
Hatari za kiafya zinazohusishwa na miporomoko ya ardhi na mimonyoko ya udongo ni:
 
Line 14 ⟶ 12:
 
==Sehemu zilizo hatarini==
 
Sehemu zingine zina uwezekano mkubwa wa kupatata miporomoko ya ardhi au mimonyoko ya udongo, ikijumuisha:
 
Line 24 ⟶ 21:
*Sehemu ambazo njia kavu zimeelekezwa.
 
==UnachowezaNamna kufanya iliya kujikinga==
'''===Kabla ya dhoruba na mvua kubwa'''===
 
'''Kabla ya dhoruba na mvua kubwa'''
*Chukulia kuwa miteremko mikali na maeneo yaliyochomwa na mioto inayoenea kwa kasi ina uwezekano wa miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi.
*Fahamu iwapo miporomoko ya ardhi au mitiririko ya vifusi imetokea awali katika eneo lako kwa kuwasiliana na mamlaka ya eneo hilo, mtaalamu wa jiolojia wa kaunti au idara ya mipango ya kaunti, wataalamu wa kupima ramani wa kijiolojia katika nchi, au idara za jiolojia za chuo kikuu.
Line 34 ⟶ 30:
*Iwapo unaishi katika eneo lenye uwezekano wa miporomoko ya ardhi fikiria kutoka hapo.
 
'''===Wakati wa dhoruba na mvua kubwa'''===
*Sikiliza redio au utazame televisheni kwa maonyo kuhusu mvua kubwa au kwa habari na maagizo kutoka kwa wenye madaraka rasmi wa eneo hilo.
*Fahamu ongezeko au kupungua ghafla kwa viwango vya maji katika mto au hori inayoweza kuashiria mtirirko wa vifusi upande wa juu wa mto. Mchururu wa udongo unaoteremka unaweza kutanguliza mtiririko mkubwa.
Line 42 ⟶ 38:
*Iwapo hatari ya mporomoko wa ardhi au mtiririko wa vifusi iko karibu, toka kwa njia ya mporomoko haraka. Kutoka kwa njia ya mtiririko wa vifusi ndio kinga yako bora zaidi. Enda katika eneo lililo juu na karibu sana katika upande mbali na njia hiyo. Iwapo mawe na vifusi inakaribia, kimbia kuelekea mahali pa kujisetiri palipo karibu na ujikinge(Ikiwezekana, chini ya dawati, meza, au samani zingine zozote zenye nguvu.)
 
'''===Baada ya mporomoko wa ardhi au mtiririko wa vifusi'''===
*Kaa mbali na eneo hilo. Kufurika au miporomoko zaidi inaweza kutokea baada ya mporomoko wa ardhi au mmonyoko wa udongo.
*Angalia watu waliojeruhiwa au kutegwa karibu na sehemu lililoathirika, ikiwezekana fanya hivyo bila kuingia njia ya mporomoko wa ardhi au mmomonyoko wa udongo.
Line 57 ⟶ 53:
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Hifadhi ya mazingira]]
[[Jamii:Maafa Translators without Bordersasilia]]