Kiunzi nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 37 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q191944 (translate me)
Mstari 4:
 
== Wadudu na arthropodi ==
Ni hasa wanyama wa ngeli ya [[arthropodi]] kama vile [[wadudu]], [[buibui]] na [[kaa]] wenye kiunzi nje imara ya [[chitini]]. Tofauti ni [[matumbawe]] ambao wanakaa pamoja kwa vikundi vikubwa ilhali kila mmoja anajijengea kihunzi nje kidogo na viunzi hivi vinabaki wakati tumbawe anakufa lakini wengine hujenga juu ya viunzi vya watangulizi hivi kujenga [[mwamba tumbawe]] ambaye yamekuwa chanzo cha visiwa vingi.
 
Kwa mnyama mdogo kiunzi hiki bado ni laini lakini kinaendelea kuwa kigumu. Baada ya muda kama mnyama anaendleaanaendelea kukua ganda hili gumu linakuwa dogo. Hapo wanyama wenye kiunzi nje hutupa ganda na kukuza ngozi mpya itakayokuwa gumu tena.
 
== Watu na kiunzi nje ==