Mwese : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kunyosha nyongeza kisarufi na kitahajia
Mstari 18:
 
}}
'''Mwese''' ni [[jina la kata]] ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo.
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>, wengi wao wakiwa [[Wachagga]] kutoka [[mkoa wa Kilimanjaro]] waliohamishiwa hapo na [[Mwalimu Nyerere]] mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]].
 
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]].
 
Kata ya Mwese ilianzishwa na Wachgga waliopelekwa hapa na serikali ya Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 walioleta kilimo cha [[migomba]] na [[kahawa]].
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia Tanzania baada ya [[Uhuru]].
 
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] waliopokea uraia na [[Wakikuyu]] ambao walibakia TanzaniaTanznaia baada ya [[Uhuru]].
 
Kati ya vivutio vya kitalii kwenyeKwenye kata ya Mwese kuna [[mto]]moto ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata [[watoto]] [[Mapacha|pacha]]; sehemu kubwa ya wakazi wa Mwese wamebarikiwa mapacha.
 
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]] .
 
Kati ya vivutio vya kitalii kwenye kata ya Mwese kuna [[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata [[watoto]] [[Mapacha|pacha]]; sehemu kubwa ya wakazi wa Mwese wamebarikiwa mapacha.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Mbegu-jio-katavi}}
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}