Mlangobahari wa Tsugaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Tsugaru Strait"
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Coord|41|29|57|N|140|36|57|E|region:JP_type:waterbodyMajiranukta|right}}
[[Picha:Location_TsugaruPeninsulaJp.jpg|thumb| Rasi ya Tsugaru na Mlangobahari wa Tsugaru ]]
[[Picha:Tappisaki.JPG|thumb| Tappi Misaki ]]
'''Mlangobahari wa Tsugaru''' (ing. Tsugaru Strait, (Kijapani津軽海峡, ''Tsugaru Kaikyō'') isni sehemu nyembamba ya bahari iliyopo kati ya visiwa vya [[Honshu]] na [[Mkoa wa Hokkaidō|Hokkaido]] nchini [[Japani]]. Iko katika kaskazini ya Japani. Inaunganisha [[Bahari ya Japani]] na [[Pasifiki|Pasifiki.]]<ref name="nussbaum998">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [https://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA998&dq= "''Tsugaru Kaikyō''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 998.</ref> Jina lake latokana na Tsugaro ambayo ni sehemu jirani ya Mkoa wa [[Mkoa wa Aomori]] kwenye kisiwa cha Honshu.
 
== Jiografia ==
Kina kikubwa cha maji ni mita 490. Mkondo wa maji vuguvugu unapita humo kutoka kusini kuelekea kaskazini unaoitwa kwa Kijapani ''Tsushima-kairyū''.<ref>Nussbaum, [https://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA1003&dq= "''Tsushima Kaikyō''"] at p. 1003.</ref>
 
Chini ya mlangobahari kuna [[njia ya reli]] inayopita ndani ya handaki chini ya bahari. Reli hii ilichukua nafasi ya feri iliyowahi kubeba watu na mizigo kutoka kisiwa kimoja kwenda kingine kwa masaa minne.
 
== Marejeo ==
Line 12 ⟶ 13:
 
 
 
{{Coord|41|29|57|N|140|36|57|E|region:JP_type:waterbody}}
[[Jamii:Milango ya Bahari]]
 
[[jamii:Jiografia ya Japani]]