Mlangobahari wa Tsugaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Location_TsugaruPeninsulaJp.jpg|thumb| Rasi ya Tsugaru na Mlangobahari wa Tsugaru ]]
[[Picha:Tappisaki.JPG|thumb| Tappi Misaki ]]
'''Mlangobahari wa Tsugaru''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: Tsugaru Strait, kwa [[Kijapani]]: 津軽海峡 ''Tsugaru Kaikyō'') ni sehemu nyembamba ya [[bahari]] iliyopo kati ya [[visiwa]] vya [[Honshu]] na [[Hokkaido]] nchini [[Japani]]. Iko katika [[kaskazini]] ya Japani. Inaunganisha [[Bahari ya Japani]] na [[Pasifiki|Pasifiki.]]<ref name="nussbaum998">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [https://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA998&dq= "''Tsugaru Kaikyō''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 998.</ref>. [[Jina]] lake latokanalinatokana na Tsugaro ambayo ni sehemu jirani ya [[Mkoa wa Aomori]] kwenye kisiwa cha Honshu.
 
== Jiografia ==
[[Kina]] kikubwakirefu cha [[maji]] ni [[mita]] 490. Mkondo wa maji vuguvugu unapita humo kutoka [[kusini]] kuelekea kaskazini unaoitwa kwa Kijapani ''Tsushima-kairyū''.<ref>Nussbaum, [https://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA1003&dq= "''Tsushima Kaikyō''"] at p. 1003.</ref>
 
Chini ya [[mlangobahari]] kuna [[njia ya reli]] inayopita ndani ya [[handaki]] chini ya bahari. [[Reli]] hii ilichukua nafasi ya [[feri]] iliyowahi kubeba watu na mizigo kutoka kisiwa kimoja kwenda kingine kwa masaa minnemanne.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
{{mbegu-jio-Japani}}
 
 
[[Jamii:Milango ya Bahari]]
 
[[jamii:Jiografia ya Japani]]