Rasi ya Yucatan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Yucatán Peninsula"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Yucatan_peninsula_250m.jpg|right|thumb|267x267px| Peninsula ya Yucatán kama inavyoonekana kutoka anga-nje ]]
'''Yucatan''' ni [[rasi]] kubwa huko [[Amerika Kaskazini]] (au [[Amerika ya Kati]], inategemea kama unaiona pekee na kaskazini). Rasi hii inatenganisha [[Bahari ya Karibi]] na [[Ghuba ya Meksiko|Ghuba ya Mexico]].
 
Sehemu ya askazinikaskazini ya rasi iko ndani ya [[Meksiko]], ikigawiwa kwa majimbo yake ya [[Yucatan]], [[Campeche]] na [[Quintana Roo]]. Kusini ya rasi iko katika [[Guatemala]] na [[Belize]]. Upande wa mashariki kipo kisiwa kikubwa zaidi ya Meksiko ambacho ni [[Cozumel]].
 
[[Kasoko ya Chicxulub]] iko kwenye pwani ya kaskazini. Ilisabishwa na pigo la [[asteroidi]] mika milioni 65 iliyopita iliyoleta maafa makubwa duniani pamoja na kuangamizwa kwa [[dinosauri]].