Rasi ya Yucatan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 3:
'''Yucatan''' (tamka ''yu-ka-tan'') ni [[rasi]] kubwa huko [[Amerika Kaskazini]] (au [[Amerika ya Kati]], inategemea kama unaiona pekee na kaskazini). Rasi hii inatenganisha [[Bahari ya Karibi]] na [[Ghuba ya Meksiko|Ghuba ya Mexico]].
 
Sehemu ya [[kaskazini]] ya rasi hiyo iko ndani ya [[Meksiko]], ikigawiwa kwakatika [[majimbo]] yake ya [[Yucatan]], [[Campeche]] na [[Quintana Roo]]. [[Kusini]] ya rasi iko katika [[Guatemala]] na [[Belize]]. Upande wa [[mashariki]] kipo [[kisiwa]] kikubwa zaidi yacha Meksiko ambacho ni [[Cozumel]].
 
[[Kasoko ya Chicxulub]] iko kwenye [[pwani]] ya kaskazini. Ilisabishwa na pigo la [[asteroidi]] mikamiaka [[milioni]] 65 iliyopita iliyoleta maafa makubwa [[duniani]] pamoja na kuangamizwa kwa [[dinosauri]].
 
==Historia==
Kabla ya kufika kwa [[Wahispania]], Yucatan ilikuwa eneo la [[ustaarabu]] wa [[Wamaya]]. Walikuwa na [[miji]] mingi kama [[Chichen Itza]], [[Tulum]] und [[Uxmal]], na [[milki]] ndogo mbalimbali. Wahispania walivamia eneo kuanzia [[mwaka]] [[1527]] hadi [[1547]] ikwaikawa sehemu ya [[Hispania Mpya]]. Kulikuwa na sehemu ndogo ambako uatawala[[utawala]] wa Wamaya uliendelea kwa [[siri. Katika karne ya 19, baada ya kuporomoka kwa ukoloni wa Hispania, nchi za Amerika ya Kati zilipata uhuru na eneo la Yucatan liligombaniwa kati ya Meksiko na Gutemala. 1841 Yucatan ilitangaza uhuru wake ikitawaliwa na Wakreoli (wakazi wenyi asili ya Hispania) bila kushirikisha Wamaya wazalendo. Wamaya walitumia nafasi ya kuanzisha vita ya kupigania uhuru wao katika vita ndefu kuanzia 1847 hadi 1901. Mafanikio ya Wamaya yalisababisha Jmahuri ya Yucatan kurudi Meksiko, na hatimaye jeshi la Meksiko lilifaulu kugandamza upinzani wa Wamaya]].
 
Katika [[karne ya 19]], baada ya kuporomoka kwa [[ukoloni]] wa Hispania, nchi za Amerika ya Kati zilipata [[uhuru]] na eneo la Yucatan liligombaniwa kati ya Meksiko na Gutemala. Mwaka [[1841]] Yucatan ilitangaza uhuru wake ikitawaliwa na [[Wakreoli]] (wakazi wenye asili ya [[Hispania]]) bila kushirikisha Wamaya. Wamaya wazalendo walitumia nafasi ya kuanzisha [[vita]] ya kupigania uhuru wao katika vita ndefu kuanzia mwaka [[1847]] hadi [[1901]]. Mafanikio ya Wamaya yalisababisha Jamhuri ya Yucatan kurudi Meksiko, na hatimaye [[jeshi]] la Meksiko lilifaulu kugandamiza upinzani wa Wamaya.
Kwa miaka mingi sehemu za Yukatan zilikuwa chini ya mamlaka ya kijeshi hadi maeneo yake yalipewa hadhi ya kuwa majimbo kamili ya kujitawala ndani ya Meksiko.
 
Kwa miaka mingi sehemu za Yukatan zilikuwa chini ya [[mamlaka]] ya kijeshi hadi maeneo yake yalipewa [[hadhi]] ya kuwa majimbo kamili ya kujitawala ndani ya Meksiko.
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Jiografia ya Meksiko]]
[[Jamii:Jiografia ya Guatemala]]