Golikipa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 7:
Nafasi hii ni mahususi katika michezo ya [[Soka]], bandy, rink bandy, camogie, Gaelic football, Mpira wa sakafu, mpira wa mikono, hockey, polo na michezo mingine mingi.
Katika michezo mingi inayohusisha kufanga katika wavu,
Hii inaweza kuonekana sanasana katika mchezo wa hokey ambapo golikipa huvaa mavazi maalumu kama kofia ngumu ili kumlinda na vishindo kutokana na kugongwana vitu vigumu kama fimbo ya kuchezea na mpira.
Mstari 16:
===Mpira wa mikono ===
Katika mpira wa mikono, golikipa pekee ndie anayeruhusiwa kukaa eneo la mita 6 kuzunguka lango lake kwa kipindi chote cha mchezo. Golikipa anaruhusiwa kuzuia mpira
Mpira ukigusa chini eneo la mita sita wakati wa mchezo, golikipa tu ndie anayeruhusiwa kuucheza aidha kwa kuupiga au kuushika, mpira ukiwa eneo la mita sita lakini haujagusa chini, mchezaji yeyote anaruhusiwa kuucheza ila tu asiwe amegusa chini, anaweza fanya hivyo kwa kuruka na kupiga mpira akiwa hewani.
Mstari 42:
==Kipa kwenye sarafu na stampu==
[[File:2004 Austria 5 Euro 100 Years Football back.jpg|160px|thumb
Magolikipa wamekua wakitumika na baadhi ya wakusanyaji wa sarafu na medali, mfano sarafu ya euro 5 ya [[Austria]] ambayo ilichongwa 12 Mei 2004. Sarafu hiyo inaonesha shuti lililopigwa na mchezaji anayeonekana kwa mbali ambalo linampita golikipa (likiwa bado lipo hewani) kuelekea golini.
|