Uzamivu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
Kwa kufuata tabia za [[lugha]] nyingine, [[jina]] [[daktari]] hutumiwa pia kama [[jina la heshima]] kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu.
 
Ilikuwa desturi hadi leo kwamba mgombea wa uzamivu anaonyesha uwezo wake kwa kutunga [[tasnifu]] ambayo ni kitabu kamili. Siku hizi masharti ya tasnifu zinweza kutimizwa pia kwa kutunga idadi fulani za makala zinazohitaji kupokelewa na majarida ya kitaalamu ambako zinachunguliwa na wataalamu wengine kabla ya kupokelewa na kuchapishwa.
 
{{mbegu-elimu}}