Porto Velho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
 
}}
'''Porto Velho''' ni jina la [[mji mkuu]] wa [[Majimbo ya Brazil|jimbo]] la [[Rondônia]] katika [[Brazil]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mnamo [[mwaka]] wa [[2008]], mji unakuna wakazi wapatao 380,000 wanaoishi katika [[mji]] huuhuo. Mji upo [[m]] 85 kutoka [[juu ya usawa wa bahari]].
 
Porto Velho ni mji wa [[bandari]] uliopo kwenye [[Mto Madeira]]. Wakati wa miezi ya [[mvua]] usawa wa maji hupanda juu, na [[meli]] kutoka [[Atlantiki]] hufikia Porto Velho.
 
== Viungo vya nje ==
{{commonscat}}
* {{pt}} [http://www.portovelho.ro.gov.br/ Tovuti rasmi]
 
{{commonscat}}
{{mbegu-jio-Brazil}}