Mto Tajo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Tagus" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{mto
| jina = Mto Tajo, Tejo
| picha = SpainTajoBasin.png
| maelezo_ya_picha =
| chanzo = Fuente Garcia, [[Mkoa wa Teruel|Teruel]], Hispania
| mdomo = mjini [[Lisbon]] katika [[Atlantiki]]
| nchi = [[Hispania]], [[Ureno]]
| urefu = [[kilomita|km]] 1,007
| kimo = [[mita|m]] 1,627
| tawimito =
| tawimito kulia = mito Gallo, Jarama, Guadarrama, Alberche, Tiétar, Alagón, Zêzere
| tawimito kushoto = mito Guadiela, Algodor, Gévalo, Ibor, Almonte, Salor, Sever
| mkondo = [[mita ya ujazo|m<small> <sup>3</sup></small>]] 500
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sup>2</sup></small>]] 80,100
| watu =
| miji =
}}
[[Picha:VV Rodão Setembro 2010-7a.jpg|thumb| Tajokaribu na mpaka wa Hispania - Uremo]]
'''Mto Tajo''' (pia: '''Tejo'''; [[Kihispania]]: Tajo, [[Kireno]] Tejo, [[Kiingereza]]: Tagus) ni mto mrefu zaidi katika [[rasi ya Iberia]] yaani kwenye nchi za [[Hispania]] na [[Ureno]]. Urefu wake ni km 1,007 kwa jumla, ikiwa km 716 ziko nchini Hispania na km 275 huko [[Ureno]] . Kwa km 47 mto huu ni mpaka kati ya Ureno na Hispania. Tejo inaishia katika ya [[Bahari Atlantiki]] karibu na m ji mkuu wa Ureno, [[Lisbon]] .
Line 97 ⟶ 24:
Chanzo cha Tajo kipo katika milima ya [[Mkoa wa Teruel]] nchini Hispania. Miji mikubwa zaidi ambako hupitia ni Aranjuez, Toledo, Talavera de la Reina na Alcántara huko Uhispania, halafu Abrantes, Santarém, Almada na [[Lisbon]] huko Ureno.
[[Jamii:Mito ya Hispania]] [[Jamii:Mito ya Ureno]]
|