Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 30:
 
[[Nishati]] ya mnururisho huu ni msingi wa maisha ya [[mmea|mimea]] na [[kiumbehai|viumbe hai]] katika dunia. Nuru ya Jua inabadilishwa na mimea kwa njia ya [[usanisinuru]] kuwa [[nishati ya kikemia]] inayojenga [[miili]] yao itakayokuwa [[lishe]] tena ya mimea na wanyama.
 
==Mambo yanayo athiri tabia ya nchi ya afrika mashariki==
[[Jua la utosi]],[[upepo]],[[mwinuko]],[[mvua]],[[uoto]],[[bahari]] na [[maziwa]] ni mambo yanayoathiri tabia ya nchi ya [[Afrika Mashariki]].
==Jua la utosi==
Dunia yetu ina mistari ya kubuni inayowezesha kutambua maeneo mbalimbali kwa urahisi,mistari hiyo ni pamoja na mstari wa [[Ikweta]],[[tropiki ya kansa]] na [[tropiki ya Kaprikoni]]
Mstari wa [[Ikweta]] unaigawa dunia katika sehemu nbili za [[kaskazini]] na [[kusini]],mstari huu una nyuzi 0 na unapita eneo la Afrika mashariki katika nchi za [[Kenya]] na [[Uganda]].Mstari wa Tropiki ya kansa upo upande wa kaskazini mwa Ikweta.
Mstari wa tropiki ya Kaprikoni Upo Kusini mwa Ikweta.
Kipindi ambacho jua la Utosi lipo Tropiki ya kansa ,eneo La Kizio cha Kaskazini Huwa na [[joto]],kwa kuwa hewa ikipata joto hutanuka hivyo huwa na mgandamizo mdogo wa hewa.Pepo huvuma kuelekea huko.
 
==Upepo==
 
Pepo hizi huvuma kutoka kusini-mashariki kuanzia mwezi [[desemba]] wakati jua la utosi linapokuwa tropiki ya kaprikoni kipindi hiki kizio cha kusini huwa na joto na Pepo huvuma kutoka kusini-mashariki.Pia hali hiyo husababisha mabadiliko ya upatikanaji wa mvua na hali ya joto katika eneo la Afrika Mashariki.
Maeneo ya Ikweta yana tabia ya Kiikweta ya kuwa na [[mvua]] nyingi na [[joto]] jingi.Kusini na Kaskazini mwa eneo lenye tabia ya Kiikweta kuna tabia ya kitropiki yenye majira mawili makuu ya mwaka.Majira hayo ya mwaka ni [[masika]] na [[kiangazi]].Lakini katika maeneo ya pwani majira ya mwaka hugawanyika katika sehemu nne ambazo ni [[vuli]],[[kipupwe]],[[masika]] na [[kiangazi]].
 
==Mwinuko==
 
Afrika Mashariki ina mwinuko wa meta 0 kutoka usawa wa bahari hadi kufika meta 4600.Maeneo ya pwani mwinuko wake ni kuanzia meta 0 hadi meta 500 kutoka usawa wa bahari.
Wastani wa jotoridi ni nyuzi za sentigredi 26.Joto hupungua kadiri unavyoelekea bara.Meta 1500 Kutoka usawa wa bahari ni nyuzi za sentigredi 22 ambapo ni wastani wa joto linalopatikana katika maeneo ya [[Tabora]].Maeneo ya mlima mrefu kama [[kilimanjaro]] wenye urefu wa meta 5895 huwa na jotoridi la chini ya nyuzi za sentigredi 0
 
==Maziwa na bahari==
 
Maeneo yaliyo kandokando ya [[maziwa]] na [[bahari]] huwa na unyevunyevu na mvua nyingi.Mara nyingi maeneo yanayozunguka bahari na maziwa mfano [[Ziwa Viktoria]] na [[Bahari ya Hindi]] yana tabia ya nchi ya aina moja.Maeneo hayo kwa kawaida hupata mvua nyingi.
 
==Uoto wa misitu==
 
Maeneo yenye [[misitu]] hupata mvua nyingi kwani [[mawingu]] huweza kufanyika kwa urahisi.Misitu hiyo pia huifadhi unyevu usipotee ardhini kwa urahisi kwa njia ya mvukizo.
 
==Pepo==
Pepo za msimu za [[Kaskazini-mashariki]] Huleta Mvua kidogo katika eneo kubwa la [[kenya]] na kaskazini mwa [[Tanzania]]. Pepo huvuma sambamba na pwani.Pepo hizi pia huvuma kutoka sehemu kubwa ya nchi kavu katika nchi ya [[Ethiopia]] na [[Sudani]] kabla ya kufika eneo la [[Afrika Mashariki]].
 
 
 
 
==Tanbihi==