Geji sanifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 10:
 
Reli ya SGR itaruhusu [[treni]] za mkasi mkubwa zaidi jinsi ilivyo sasa. Inaruhusu pia [[behewa|mabehewa]] kubeba mizigo mizito zaidi na hivyo kuongeza kiasi cha [[mzigo]] kwa kila behewa.
===Reli ya SGR Kenya===
Ujenzi ulianza nchini Kenya ambako njia ya SGR kati ya [[Mombasa]] na [[Nairobi]] inatarajiwa kufunguliwailifunguliwa mwezi Juni [[2017]]. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Kisumu]] kupitia [[Naivasha]] na hatimaye hadi [[Malaba]] kwenye mpaka wa [[Uganda]]<ref>[http://krc.co.ke/sgr/ Standard Gauge Railway Development in Kenya], tovuti ya Kenya Railways Company, iliangaliwa Mei 2017</ref>.
 
===Reli ya SGR Tanzania===
Ujenzi ulianza nchini Kenya ambako njia ya SGR kati ya [[Mombasa]] na [[Nairobi]] inatarajiwa kufunguliwa mwezi Juni [[2017]]. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Kisumu]] kupitia [[Naivasha]] na hatimaye hadi [[Malaba]] kwenye mpaka wa [[Uganda]]<ref>[http://krc.co.ke/sgr/ Standard Gauge Railway Development in Kenya], tovuti ya Kenya Railways Company, iliangaliwa Mei 2017</ref>.
 
Mwaka 2017 ulianza ujenzi wa awamu ya kwanza ya njia ya SGR nchini Tanzania inayolenga kuunganisha [[Dar es Salaam]] na [[Morogoro]]<ref>[http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-railway-construction/2560-3801608-6plii9/index.html Turkish, Portuguese firms win bid to construct Tanzania’s SGR] , tovuti ya theeastafrican.co.ke ya 6 Februari 2017, iliangaliwa Mei 2017</ref>. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Mwanza]] na hatimaye hadi [[Burundi]].