Chungwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:OrangeBloss wb.jpg|thumb|180px|Machungwa na maua yake]]
[[Picha:Navel orange sectioned.jpg|thumb|180px|Chungwa bivu]]
'''Chungwa''' ni [[tunda]] la [[mchungwa]]. Ni kati ya matunda yanayovunwa sana duniani. [[Jina la kisayansi]] ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck kwenye [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[Rutaceae]]. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili kutofautisha na Citrus aurantium, chungwa chungu. Chungwa ni [[mahulusi]] kati ya [[pomelo]] (Citrus maxima) na [[mandarin]] (Citrus reticulata).
 
Chungwa, na hasa chungwa tamu, ni jamii ya matunda ya citrus, na huaminika kuwa yalikuzwa miongoni mwa enzi za pomelo na tangerine. Mti wake mdogo utoao maua hufikia urefu takribani mita kumi na majani yake yasiyokauka muda wote.
'''Chungwa''' ni tunda la [[mchungwa]]. Ni kati ya matunda yanayovunwa sana duniani. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck kwenye familia ya [[Rutaceae]]. Chungwa ni mahulusi kati ya [[pomelo]] (Citrus maxima) na [[mandarin]] (Citrus reticulata).
 
Tunda lenyewe ni [[kijani]] na [[rangi]] inabadilika kuelekea [[njano]] ikiiva. Pamoja na [[limau]], [[danzi]], [[balungi]] na [[ndimu]] ni mojawapo kati ya [[matunda chungwa]], jamii ya matunda ya citrus. SikuMatunda hiziyote nijamii tundaya linalovunwajenasi zaidiya katicitrus, huzaliana. Matunda ya matundajamii chungwahii huonwa kama ya aina ya beri sababu ya kuwa na mbegu nyingi, kuwa laini na nyama nyingi huku yakikua kutoka kwenye ovari moja.
 
Siku hizi chungwa ni tunda linalovunwa zaidi kati ya matunda chungwa na ni kati ya matunda yanayovunwa sana [[duniani]].
Asili yake ni katika [[Asia ya Kusini-Mashariki]] ambako lilioteshwa na wakulima.
Kuna aina mbili yanayotofautiana kwa ladha ama chungu au tamu.
 
==Uenezi==
Aina yenye ladha chungu iliwahi kusambaa duniani hivyo jina la Kiswahili limetunza ladha hii hata kama matunda mengi yanayopandwa siku hizi ni aina tamu.
[[Asili]] yake ni katika [[Asia ya Kusini-Mashariki]] ambako lilioteshwa na [[wakulima]].
 
Kuna aina mbili yanayotofautianazinazotofautiana kwa [[ladha]] ama chungu au tamu.
 
Aina yenye ladha chungu iliwahi kusambaa duniani, hivyo [[jina]] la [[Kiswahili]] limetunza ladha hii hata kama matunda mengi yanayopandwa siku hizi ni aina tamu.
 
Chungwa tamu lilisambaa kote duniani baada ya [[Ureno|Wareno]] kuchukua machipuko yake na kuyapanda kwanza Ureno baadaye hata [[Amerika]] na [[Afrika]] kuanzia [[karne ya 15]].
 
== NchiKiwango zacha mavunoasidi ==
Kama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha, sawa kabisa na hata siki ya nyumbani.
 
== Uzalishaji ==
Machungwa kwa kawaida hulimwa kwaajilikwa ajili ya biashara na hulimwa maeneo mengi duniani. Wazalishaji wa machungwa wanaoongoza duniani ni Brazili, Marekani na Meksiko. Machungwa huathirika kwa haraka sana na ukungu hivyo huhitaji matunzo mazuri pindi joto dogo sana linapotegemewa.
 
{| class="wikitable" align="left" style="clear:left"
! colspan=2|Nchi za mavuno — 2005<br />([[tani]] [[milioni]])
|-
| [[Brazil]] || align="right" | 17.8
Line 41 ⟶ 51:
|colspan=2|''Chanzo: <br />[[FAO]]''<ref>[http://faostat.fao.org/faostat/form?collection=Production.Crops.Primary&Domain=Production&servlet=1&hasbulk=0&version=ext&language=EN FAO Statistics]</ref>
|}
 
== Utangulizi ==
Chungwa, na hasa chungwa tamu, ni jamii ya matunda ya citrus, na huaminika kuwa yalikuzwa miongoni mwa enzi za pomelo na tangerine. Mti wake mdogo utoao maua hufikia urefu takribani mita kumi na majani yake yasiyokauka muda wote.
Machungwa asili yake ni huko kusini mwa Asia. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili kutofautisha na Citrus aurantium, chungwa chungu.
 
 
== Tunda ==
 
matunda yote jamii ya jenasi ya citrus, huzaliana na familia yao hujumuisha machungwa, ndimu na limao. Matunda ya jamii hii huonwa kama ni ya ain aya beri sababu ya kuwa na mbegu nyingi, kuwa laini na nyama nyingi huku yakikua kutoka kwenye ovary moja.
 
 
== Kiwango cha asidi ==
Kama ilivyo kwa jamii ya matunda ya citrus, machungwa nayo huwa na hali ya aside, yenye kiwango cha pH karibu na 2.5 -3, kulingana na umri wake, ukubwa na aina ya chungwa. Japo si kama ilivyo kwa limao, bado machungwa huwa na kiwango cha asidi cha kutosha, sawa kabisa na hata siki ya nyumbani.
 
 
== Uzalishaji ==
Machungwa kwa kawaida hulimwa kwaajili ya biashara na hulimwa maeneo mengi duniani. Wazalishaji wa machungwa wanaoongoza duniani ni Brazili, Marekani na Meksiko. Machungwa huathirika kwa haraka sana na ukungu hivyo huhitaji matunzo mazuri pindi joto dogo sana linapotegemewa.
 
 
== Ulimaji ==
Michungwa huweza kukuzwa maeneo yenye joto na hata yale yenye baridi. Kama ilivyo kwa matudna mengine ya citrus, ili kupata mazao mazuri haina budi kukuza michungwa katika joto la 15.5&nbsp;°C - 29&nbsp;°C. Miti ya machungwa iliooteshwa kutokana na mbegu zilizonunuliwa madukani inaweza kuwa tofauti kabisa na ile miti ya asili iliyozalidha mbegu hizo. Hii hutokana na mabadiliko ya kizazi yanayotokana na kuchanganywa mbegu kisayansi kwa muda mrefu. Ili kupata mmea wa mchungwa kama tunda ulilolininunua, huna budi kuitunza mbegu hiyo kwenye unyevunyevu kisha tu baada ya kuzitua kwenye tunda na kuziotesha katika hali ya unyevu; na pindi mmea uchipuapo hapo ukapandwe kwenye udongo kusudiwa.
 
== Sharubati na bidhaa nyingine. ==
 
 
== Sharubati na bidhaa nyingine. ==
 
Machungwa yanakuzwa katika hali mbalimbali za joto duniani kote, na ladha yake hubadilika kuanzia hali ya utamu mpaka uchungu kabisa. Tunda kwa kawaida humenywa na kuliwa au huminywa na sharubati yake kunywewa. Limezungukwa na ganda lenye ladha chungu lakini huweza kukamuliwa na kuondolewa maji yake na kutumika kwa chakula cha mifugo. Pia hutumika kuongeza ladha ya vyakula vingine na hata maganda yake hufaa kwa kazi hii. Sehemu nyeupe ya ndani, kati ya nyama na ganda la nje nayo huwa na vitamini sawa kabisa na nyama ya ndani.
 
Sharubati ya machungwa ndiyo bidhaa kuu kuliko zote ya machungwa. Huweza kuzalishwa kwa matumizi ya nyumbani lakini hasa hufanywa kwa minajili ya biashara. Sharubati ya kugandishwa ya machungwa hutengenezwa kutokana na majimaji ya machungwa pia.
Mafuta ya machungwa ni bidhaa ndogo inayotengenezwa kwa kukamua maganda ya machungwa. Hutumika kwa kuongeza ladha ya chakula na zaidi kwenye utengenezaji wa manukato.
 
Maua ya machungwa nayo hupendwa kwa harufu yake nzuri na hutumika mara nyingi nyakati za harusi na huhusishwa na bahati njema.
Majani ya michungwa yanaweza kutumika kutengenezea chai. Maga
 
==Marejeo==
Line 81 ⟶ 71:
* [https://web.archive.org/web/20041118125823/http://sun.ars-grin.gov:8080/npgspub/xsql/duke/plantdisp.xsql?taxon=282 ''Citrus sinensis'' List of Chemicals (Dr. Duke's Phytochemical and Ethnobotanical Databases)], [[USDA]], Agricultural Research Service.
* [http://anrcatalog.ucdavis.edu/Details.aspx?itemNo=8199 Oranges: Safe Methods to Store, Preserve, and Enjoy]. (2006). University of California Agriculture and Natural Resources.
{{mbegu-biolojia}}
 
 
 
[[Jamii:Matunda]]