Chipsi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Chipsi ni vipande vyembamba vya chakula vilivyokaangwa katika mafuta.
'''Chipsi''' (kutoka [[Kiingereza]]: "chips"; pia: '''vibendo''', '''viepe''') ni mlo wa [[viazi]] vilivyokatwakatwa na kukaangwa kwa [[mafuta]]. Kwa kawaida huongezewa [[chumvi]] na [[mayai]] au [[kitoweo]] kingine.
 
'''Chipsi''' zinajulikana hasa kama chipsi za viazi, tena kwa namna mbili tofauti:
==Tazama pia==
*'''Chipsi moto''' (ing. fries, chips) ni vipande vya kiazi ambavyo mara nyingi vinalingana na ukubwa wa kidole kodogo vinakaangwa katika mafuta. Chipsi za aina hii huliwa zikiwa moto pamoja na nyama, kuku, samaki au peke yake, kwa kawaida pamoja sosi ya nyanya au pilipili. [[Chipsi mayai]] ni chipsi zinazokorogwa pamoja na mayai na kukaangwa tena.
 
*'''chipsi baridi''' (ing. potato chips) ni vipande bapa na vyembamba sana vya chipsi vinakaangwa katika mafuta. Chipsi hizi huliwa mara nyingi peke zao. Vinauzwa madukani katika mfuko na kuliwa kama chakula baridi.
 
 
Chipsi baridi hutengenezwa pia kwa kutumia ndizi, mizizi mingine yenye wanga au nafaka mablimbali. Mara nyingi hutengenezwa kiwandani na kuuzwa kwa wingi kupitia maduka. Kuna watu wanaozipika nyumbani.
 
Chipsi za kila aina ni chakula kinachopendwa lakini ina pia madhara ya kiafya. Chips mara nyingi zina kiwango kikubwa cha mafuta na hivyo zinachangia kwa kutokea kwa [[unene wa kupindukia]]. Pia zinatayarishwa na chumvi na mlaji anapita haraka kiasi cha chumvi kinacholingana na afya (gramu 6/siku kwa mtu mzima).
 
Kama chipsi zimekaangwa katika mafuta isiyo mpya au kwa joto kubwa mno kuna kemikali zinazoweza kusababish kansa.
 
==TazamaAngalia pia==
* [[Chipsi kuku]]
* [[Chipsi mayai]]
 
 
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Chakula]]