Chipsi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Flickr - cyclonebill - Pommes frites med salatmayonnaise.jpg|200px|thumb|Chipsi moto.]]
[[Picha:Potato-Chips.jpg|2ß0px|thumb|Chipsi baridi.]]
[[Picha:4003 - Zermatt - Restaurant Weisshorn.JPG|200px|thumb|Chiipsi za tortilla.]]
'''Chipsi''' ni vipande vyembamba vya [[chakula]] vilivyokaangwa katika [[mafuta]].
==Aina==
*'''Chipsi moto''' (
*'''
Chipsi baridi hutengenezwa pia kwa kutumia [[ndizi]], [[mizizi]] mingine yenye [[wanga]] au [[nafaka]] mbalimbali. Pamoja na
==Chipsi na afya==
▲Chipsi baridi hutengenezwa pia kwa kutumia [[ndizi]], mizizi mingine yenye [[wanga]] au [[nafaka]] mbalimbali. Pamoja na chisi baridi za viazi kuna [[tortilla|chipsi za tortilla]] zilizoenea kimataifa zikiandaliwa na unga wa mahindi.
Chipsi za kila aina ni chakula kinachopendwa lakini
Kama chipsi zimekaangwa katika mafuta
▲Chipsi za kila aina ni chakula kinachopendwa lakini ina pia madhara ya kiafya. Chips mara nyingi zina kiwango kikubwa cha mafuta na hivyo zinachangia kwa kutokea kwa [[unene wa kupindukia]]. Pia zinatayarishwa na chumvi na mlaji anapita haraka kiasi cha chumvi kinacholingana na afya (gramu 6/siku kwa mtu mzima).
▲Kama chipsi zimekaangwa katika mafuta isiyo mpya au kwa joto kubwa mno kuna kemikali zinazoweza kusababish kansa.
==Angalia pia==
* [[Chipsi kuku]]
* [[Chipsi mayai]]
{{mbegu-utamaduni}}
|