Bobby Farrell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''Bobby Farrell''' (amezaliwa tar. 6 Oktoba, 1949 mjini Aruba) alikuwa mwimbaji wa kimue wa bendi ya muziki wa pop na disco-Boney M., kunako miaka ya 1970.....
 
No edit summary
Mstari 16:
| kampuni = Hansa Records<br>Sony-BMG
}}
'''Bobby Farrell''' (amezaliwa tar. [[6 Oktoba]], [[1949]] mjini [[Aruba]]) alikuwa mwimbaji wa kimuekiume wa bendi ya muziki wa pop na disco-[[Boney M.]], kunako miaka ya [[1970]].
 
Farrell aliondoka mjini [[Aruba]] akiwa na umri wa miaka 15 na baada ya hapo akaja kuwa baharia. Farrel pia aliwahi kuishi nchini [[Norway]] na [[Uholanzi]] kabla ya kuhamia nchini [[Ujerumani]].