Goodison Park : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|317x317px|Goodison Park '''Goodison Park''' ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana huko...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:58, 10 Novemba 2019

Goodison Park ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana huko Walton jijini Liverpool nchiniUingereza, ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Everton FC tangu mwaka 1892. Una uwezo wa kuketisha watu 39,572. Everton FC inashikilia rekodi kama klabu ya mda mrefu zaidi kati ya zitumikia ligi kuu ya Uingereza.

Goodison Park


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Goodison Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.