Rubela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Infant with skin lesions from congenital rubella.jpg|300px|thumb|Mtoto anayeonyesha dalili za rubela ya kuzaliwa nayo.]]
'''RubellaRubela''', (inajulikana pia kama '''surua ya Kijerumani''' au '''surua ya siku tatu''' <ref name=Neighbors2010>{{cite book|last=Neighbors|first=M|last2=Tannehill-Jones|first2=R|title=Human diseases|edition=3rd|chapter=Childhood diseases and disorders|pages=457–79|publisher=Delmar, Cengage Learning|location=Clifton Park, New York|year=2010|isbn=978-1-4354-2751-8}}</ref>, ni [[maambukizi]] yanayosababishwa na [[virusi]] vya rubellarubela. [[Ugonjwa]] huu mara nyingi ni siosi mkali na [[nusu]] ya [[watu]] hawatambuihawajitambui kuwa ni [[wagonjwa]].<ref name=WHO2011>{{cite journal|title=Rubella vaccines: WHO position paper.|journal=Wkly Epidemiol Rec|date=15 July 2011|volume=86|issue=29|pages=301-16|pmid=21766537|url=http://www.who.int/wer/2011/wer8629.pdf}}</ref> Upele unaweza kuanza karibu wiki mbili baada ya kushambuliwa na hivyo virusi na hudumu kwa siku tatu. Kawaida huanza kwenye uso na kuenea kwa mwili wote. Upele sio mkali kama ule wa [[ukambi]] na wakati mwingine huwa mkali. Homa, maumivu ya koo, na uchovu huweza pia kutokea. Maumivu ya viungo kwa watu wazima ni kawaida. Dalili nyingine ni pamoja na za kutokwa na damu, uvimbe wa pumbu, na kuvimba kwa mishipa. Kuambukizwa mwanzoni mwa ujauzito kunaweza kusababisha mtoto kuzaliwa na ugonjwa huu au kuharibika mimba.
 
[[Upele]] unaweza kuanza karibu [[wiki]] [[mbili]] baada ya kushambuliwa na hivyo virusi na hudumu kwa [[siku]] [[tatu]]. Kawaida huanza kwenye [[uso]] na kuenea kwa [[mwili]] wote. Upele si mkali kama ule wa [[ukambi]] na wakati mwingine huwa mkali. [[Homa]], [[maumivu]] ya [[koo]], na [[uchovu]] huweza pia kutokea. Maumivu ya [[viungo]] kwa watu wazima ni kawaida. [[Dalili]] nyingine ni pamoja na za [[kutokwa na damu]], [[uvimbe]] wa [[pumbu]], na kuvimba kwa [[Mshipa|mishipa]]. Kuambukizwa mwanzoni mwa [[ujauzito]] kunaweza kusababisha [[mtoto]] kuzaliwa na ugonjwa huu au kuharibika [[mimba]].
[[Picha:Infant with skin lesions from congenital rubella.jpg|300px|thumb|Mtoto anayeonyesha dalili za rubela]]
'''Rubella''', inajulikana pia kama surua ya Kijerumani au surua ya siku tatu <ref name=Neighbors2010>{{cite book|last=Neighbors|first=M|last2=Tannehill-Jones|first2=R|title=Human diseases|edition=3rd|chapter=Childhood diseases and disorders|pages=457–79|publisher=Delmar, Cengage Learning|location=Clifton Park, New York|year=2010|isbn=978-1-4354-2751-8}}</ref>, ni maambukizi yanayosababishwa na [[virusi]] vya rubella. Ugonjwa huu mara nyingi ni sio mkali na nusu ya watu hawatambui kuwa ni wagonjwa.<ref name=WHO2011>{{cite journal|title=Rubella vaccines: WHO position paper.|journal=Wkly Epidemiol Rec|date=15 July 2011|volume=86|issue=29|pages=301-16|pmid=21766537|url=http://www.who.int/wer/2011/wer8629.pdf}}</ref> Upele unaweza kuanza karibu wiki mbili baada ya kushambuliwa na hivyo virusi na hudumu kwa siku tatu. Kawaida huanza kwenye uso na kuenea kwa mwili wote. Upele sio mkali kama ule wa [[ukambi]] na wakati mwingine huwa mkali. Homa, maumivu ya koo, na uchovu huweza pia kutokea. Maumivu ya viungo kwa watu wazima ni kawaida. Dalili nyingine ni pamoja na za kutokwa na damu, uvimbe wa pumbu, na kuvimba kwa mishipa. Kuambukizwa mwanzoni mwa ujauzito kunaweza kusababisha mtoto kuzaliwa na ugonjwa huu au kuharibika mimba.
 
RubellaRubela kawaida huenea kupitia angani[[Hewa|hewani]] kupitiakwa [[kikohozi]] cha watu ambao wameambukizwa.<ref>{{cite web|title=Rubella (German Measles, Three-Day Measles)|url=http://www.cdc.gov/rubella/about/index.html|website=cdc.gov|accessdate=30 March 2015|date=December 17, 2014}}</ref> Watu wanaambukiza wiki kabla na baada ya kuonekana kwa upele. [[Watoto]] wanaweza kueneza virusi kwa zaidi ya [[mwaka]]. Wanadamu tu ndio wanaambukizwawanaoambukizwa. [[Wadudu]] hawaenezi ugonjwa. Watu wanapopona hawaambukizwi tena. [[Upimaji]] unapatikana ambao unaweza kudhibitisha [[kinga]]. Utambuzi unathibitishwa kwa kupata virusi kwenye [[damu]], koo, au [[mkojo]].
 
RubellaRubela inaweza kuepukwa kwa kutumia [[chanjo]] ya rubella iliyo na kipimo kizuri cha kinga zaidi ya [[asilimia]] 95. Mara nyingi hupewa pamoja na chanjo ya ukambi na [[matumbwitumbwi]]. Wakati baadhi ya watu, lakini [[idadi]] ya watu chini ya asilimia 80, wamepatiwa chanjo, [[wanawake]] wengi wanaweza kufikia [[umri]] wa kuzaa na bila kuwa na kinga kutokana na chanjo au baada ya kuambukizwa. Ikitokea wakaambukizwa hakuna [[matibabu]] maalum.<ref name=Yellow2014>{{cite book|author1=Huong McLean|title=CDC health information for international travel 2014 : the yellow book|date=2014|isbn=9780199948499|url=http://wwwnc.cdc.gov/travel/yellowbook/2014/chapter-3-infectious-diseases-related-to-travel/rubella|chapter=3 Infectious Diseases Related To Travel}}</ref>
 
Maambukizi ya rubellarubela ni kawaida katika maeneo mengi ya [[ulimwengu]]. Kila mwaka takriban [[kesi]] 100,000 za ugonjwa huu hujitokea.<ref name=Lancet2015>{{cite journal|last1=Lambert|first1=N|last2=Strebel|first2=P|last3=Orenstein|first3=W|last4=Icenogle|first4=J|last5=Poland|first5=GA|title=Rubella.|journal=Lancet|date=7 January 2015|pmid=25576992}}</ref> Viwango vya magonjwa vimepungua katika maeneo mengi ikiwayakiwa ni pamoja na [[Amerika]] kwa sababu ya chanjo. Kuna juhudi zinazoendelea kumaliza ugonjwa huu ulimwenguni. ina

[[Jina]] "rubella" ni la [[Kilatini]] na linamaanisha [[nyekundu]] nyekundu. Ilielezewa kwanza kama ugonjwa tofauti na [[waganga]] wa [[Ujerumani]] mnamo [[1814]] na kusababisha jina la surua ya Kijerumani.<ref name=CDC2012Pink/> --> It was first described as a separate disease by German physicians in 1814 resulting in the name German [[measle]]s.<ref name=CDC2012Pink>{{cite book|last1=Atkinson|first1=William|title=Epidemiology and Prevention of Vaccine-Preventable Diseases|date=2011|publisher=Public Health Foundation|isbn=9780983263135|pages=301–323|edition=12|url=http://www.cdc.gov/vaccines/pubs/pinkbook/rubella.html|accessdate=Mar 2015}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{mbegu-tiba}}
[[Jamii:Maradhi ya kuambukiza]]