Robert Pattinson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Robert Pattinson|thumb|Robert Pattinson '''Robert Douglas Thomas Pattinson''' (amezaliwa Mei 13, 1986) ni m...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:31, 17 Novemba 2019

Robert Douglas Thomas Pattinson (amezaliwa Mei 13, 1986) ni muigizaji wa Uingereza, mwanamitindo, mtayarishaji na mwanamuziki. Anajulikana sana kwa kucheza kama vampiri Edward Cullen kwenye sinema Twilight, na Cedric Diggory katika Harry Potter na Goblet of Fire.

Robert Pattinson
Robert Pattinson

Pattinson alizaliwa London, England. Akiwa na umri wa miaka kumi na mbili alifukuzwa shule. Baba yake alimuandikisha katika kilabu cha maigizo, na Pattinson alikiri kwamba alijiunga na kilabu kwa sababu ilikuwa nafasi ya kukutana na wasichana.

Amefanya kazi pamoja na Taylor Lautner, Kristen Stewart, Nikki Reed, Kellan Lutz, Jacson Rathbon na watu wengine wengi wakati akiigiza katika Twilight Saga. Ameshiriki katika sinema nyingi, kama vile The Haunted Airman, Remember Me, Little Ashes, Twilight, New Moon, Eclipse, n.k.


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Pattinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.