Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:PatricelumumbaIISG.jpg|thumb|Patrice E. Lumumba.]]
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa [[mwanasiasa]] na [[kiongozi]] wa [[uhuru]] wa nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa uhuru wa nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[w:Kifaransa|Kifaransa]]: ''[[w:Mouvement National Congolais|Mouvement National Congolais]]''). Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[Ubelgiji|Wabelgiji]]. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[Katanga|Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.
 
Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[Kifaransa]]: ''[[w:Mouvement National Congolais|Mouvement National Congolais]]'').
==Hadi kufikia uwaziri Mkuu==
 
Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[Ubelgiji|Wabelgiji]].
===Early life and career===
 
Patrice Lumumba alizaliwa katika familia ya [[Watetela]], wazai wake walikuwa [[w:François Tolenga Otetshima|François Tolenga Otetshima]], na [[w:Julienne Wamato Lomendja|Julienne Wamato Lomendja]], ambao walikuwa wafugaji katika eneo la [[w:Katakokombe|Katakokombe]] kwenye [[Mkoa wa Kasai]].<ref name="Kanyarwunga4">{{cite book
Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[Katanga|Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.
 
==Hadi kufikia uwaziri Mkuumkuu==
 
===Maisha ya awali===
Patrice Lumumba alizaliwa katika familia ya [[Watetela]], wazai wake walikuwa [[w:François Tolenga Otetshima|François Tolenga Otetshima]], na [[w:Julienne Wamato Lomendja|Julienne Wamato Lomendja]], ambao walikuwa wafugaji katika eneo la [[w:Katakokombe|Katakokombe]] kwenye [[Mkoa wa Kasai]].<ref name="Kanyarwunga4">{{cite book
| last = Kanyarwunga
| first = Jean I N
Line 38 ⟶ 44:
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref>Alilelewa katika makuzi ya [[familia]] ya [[w:Roman Catholic | Kikatoliki]], alisoma katika [[shule ya msingi]] ya [[Waprotestanti|kiprotestanti]], halafu katika Shuleshule ambayo iliyomilikiwa na [[wamisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]], na baadaye alipata mafunzo katika [[chuo]] kimoja cha [[serikali ]], alijishindia kozi mbalimbali na kisha kuajiriwa, alipata kazi katika mji wa [[Stanleyville| Stanleyville]] ambao nao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[Kisangani|Kisangani]] ambapo alifanya kazi kama karani wa posta.

Baadaye alihamia [[w:Léopoldville| Léopoldville]] ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[Kinshasa| Kinshasa]]) alipofanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri. Mnamo mwaka 1951 alimuoa [[w:Pauline Opangu |Pauline Opangu]]. Mwaka 1955 Lumumba alijiunga na ''Cercles des évolués'' ambazo zilikuwa klabu za Waafrika waliokuwa na elimu ya kibelgiji na kutazamiwa kuwa "walioendelea" mjini [[w:Stanleyville| Stanleyville]] na baadaye alijiunga na chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]], ambapo alifanya kazi ya uhariri na usambazaji wa kijarida cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Chama cha Kiliberali cha Ubeljiji]]. Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini Ubeljiji, mwaka 1956 alikamatwa na kushitakiwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na kisha baadaye wakili wa kibelgiji kuthibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha aliachiliwa huru mnamo mapema mwaka 1956. Na baada ya kuachiliwa kwake alisaidiwa na kuanzisha chama chama [[w:Mouvement national congolais]] (MNC) mnamo. Mwaka 1958, alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho. Mnamo mwaka 1958 mwezi wa Desemba Lumumba na wenzake walikiwakilisha chama chao katika mkutano wa [[w:All-African Peoples' ConferenceBarazaConference|Baraza la watu wote wa Africa]] mjini [[w:Accra| Accra]], [[Ghana|Ghana]], katika mkutano huo wa Desemba wa [[w:Pan-Africanism|Pan-African]] uliokuwa chini ya Rais wa Ghana hayati [[w:Kwame Nkrumah| Kwame Nkrumah]] , Ndg Lumumba ambaye alionekana kuongea lugha nyingi zikiwemo za Tetela, French, Lingala, kiswahili, na Tshiluba alijitambulisha ziai dhidi ya imani yake kwa bara la afrikaAfrika.
.<ref name=Kanyarwunga4>{{cite book
| last = Kanyarwunga
Line 62 ⟶ 70:
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.africawithin.com/lumumba/patrice_lumumba.htm Taarifa mbalimbali kuhusu Lumumba]
* [http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/1805546.stm Msamaha wa mauaji ya Lumumba]
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/february/13/newsid_2541000/2541053.stm Matangazo ya BBC siku ya kifo cha Lumumba]
Line 71 ⟶ 79:
{{DEFAULTSORT:Lumumba, Patrice}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1925]]
[[Jamii:Waliofariki 1961]]